Dance Tips – Video : Kuliko Jana (remix kizomba) – Layonn

    181

    Kuliko Jana (remix kizomba) – Layonn


    Video

    Description

    —- Promotional use only —-

    Performed by Layonn
    Compositor Layonn (participation of Baby C)
    Lyrics by Sauti Sol

    Directed by carter-films
    Director Photography Jonathan Schneiter
    Make up by Sandy Cesar
    Model : Jonas

    Facebook :
    Instagram :
    Twitter :
    Youtube :
    Soundcloud :
    Snapchat : Layonnnn

    Lyrics:

    KULIKO JANA

    This is the remix, kuliko jana, the kenyan boy

    Bwana ni mwokozi wangu,
    tena ni kiongozi wangu,
    ananipenda leo kuliko jana
    baraka zake hazikwishi,
    si kama binadamu habadiliki,
    ananipenda leo kuliko jana,

    kuliko jana, kuliko jana,
    yesu nipende, leo kuliko jana x2

    Si nakuomba mungu,uwasamehe,
    wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
    na maadui wangu,nawaombea,
    maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki
    ujue binadamu,ni watu wa ajabu sana,
    walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika,
    ujue binadamu,ni watu wa ajabu sana,
    walimsulubisha yesu masiah,
    bila kusita

    Na bwana ni mwokozi wangu,
    na tena ni mwokozi wangu,
    ananipenda leo kuliko jana
    baraka zake hazikwishi,
    si kama binadamu habadiliki,
    ananipenda leo kuliko jana,

    kuliko jana, kuliko jana,
    yesu nipende, leo kuliko jana x4

    choir:
    kuliko jana, kuliko jana,
    yesu nipende, leo kuliko jana x2